Mambo ya kuzingatia kwa mgonjwa wa kifua kikuu.

 • Kupata matibabu sahihi kutoka katika kituo cha tiba na kutimiza masharti yote aliyopewa na mtaalam wa afya;
 • Kula mlo kamili;
 • Kufuata ulaji unaoshauriwa wakati wa matatizo mbalimbali ya
  kiafya;
 • Kupata muda wa kupumzika;
 • Kujenga tabia ya kutafuta taarifa kuhusu afya kwa kusoma
  vijarida, kusikiliza redio na kuhudhuria vipindi vya elimu ya afya
  katika kituo cha huduma au katika jamii; na
 • Kuepuka matumizi ya pombe na sigara

1 thought on “Mambo ya kuzingatia kwa mgonjwa wa kifua kikuu.

 1. Safi sana kwa kutupa elimu juu ya afya ni jambo zuri sana .Nadhani kupitia ninyi watu wengi watapata kuelimika juu ya maswala mbalimbali ya afya
  Asnteni sana tena mwandishi ni classmate wangu Dr.luminiko nyika ongera sana

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show