Uhusiano kati ya kifua kikuu na VVU

Kifua kikuu ndio ugonjwa nyemelezi unaojitokeza zaidi kwa watu walioambukizwa VVU. Maambukizi ya VVU hupunguza kinga ya mwili na hivyo kufanya mwili uwe katika hatari zaidi ya kushambuliwa na maradhi mbalimbali ikiwemo kifua kikuu.
Kuwepo kwa maambukizi ya VVU kumechangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa wagonjwa wa kifua kikuu kwani idadi ya watu waliopata maambukizi ya VVU pia wameambukizwa kifua kikuu.

Ugonjwa wa kifua kikuu na UKIMWI vinapojitokeza kwa pamoja, huathiri afya kwa kiasi kikubwa. Iwapo maradhi hayo hayatakabiliwa kikamilifu, mgonjwa huweza kupoteza maisha.

Kumbuka

  • Dalili za kifua kikuu na zile za maambukizi ya VVU huweza kufanana, hivyo ni muhimu kuchunguza afya katika kituo cha tiba.
  • Kumbuka sio kila mgonjwa wa kifua kikuu ana maambukizi ya VVU

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show