Vipimo na tiba ya TB

 

Kifua kikuu katika sehemu zingine za mwili

kifua kikuu kinachotokea nje ya mapafu kinaitwa  “extrapulmonary TB”. Hutokea zaidi  kwa wagonjwa wenye upungufu wa kinga ya mwili na watoto wadogo zaidi. Hutokea kwa zaidi ya 50% ya wagonjwa wenye virusi vya Ukimwi. Sehemu zinazoathiriwa huwa uti wa mgongo,mfumo wa mkojo na sehemu za siri,na kifua kikuu cha mifupa. Aina hatari zaidi huwa inayoenea mwilini na huwa asilimia 10%.

VIPIMO

1. Kipimo cha makohozi. Huchukuliwa siku tatu mfululizo muda wa asubuhi,na kupelekwa kwenye aabara kufanyiwa uchunguzi ili kujua kama mtu ana TB.

2.Picha ya X-ray ya kifua kuchunguza TB ya mapafu

3. Kipimo cha ngozi(Tuberculin skin test). kipimo hiki kinawez toa majibu yasiyosahihi kwa mgonjwa aliyepata chanjo ya BCG,ama wenye Hodgkins lyphoma na hata utapia mlo. Majibu lazima yasomwe n daktari

4. Kuotesh bakteria(Culture). Kipimo hiki ni ghali na huchukua muda mrefu.

Je,TB hutibiwa aje?

Tiba inahusisha kunywa dawa za kifua kikuu kwa muda usiopungua miezi sita.Matumizi ya dawa hizi ni ifuatavyo:-

  • Miezi 2 ya kwanza:isoniazid,rifampicin,pyrazinamide,na ethambutol
  • Miezi 4 inayofuata dawa zinazotumika ni isoniazid na rifampicin.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show