Je umefuzu kuokoa maisha ya mtu?

Maisha ni kujifunza kila siku na wewe kama mdau wa daktarimkononi tumekuwa tukikujuza mengi. Leo tungependa tukukumbushe Yale ya nyuma ili ufahamu kwa kiasi gani umefuzu. Na pengine utupatie maoni yako ni vipengele gani ungependa tuvigusie katika magonjwa ya dharura .

Ifuatayo ni orodha ya post zetu zote katika kipengele cha magonjwa ya dharura tangu tuanze safari hii.

1. Mazingira
Kungatwa na nyuki, Kung’atwa na mbwa, Kung’atwa na nyoka, kuzama majini, Kupaliwa (MTU mzima).

2. Mfumo wa hewa

Upekee wa njia ya hewa ya watoto, maambukizi ya njia ya hewa ya juu, maambukizi ya njia ya hewa ya chini, ugonjwa wa Asthma, Nimonia (pneumonia)

3. Ubongo na mishipa ya fahamu.
Kuzimia, aliyepatwa na degedege.

4. Magonjwa ya moyo ya dharura.
Mshtuko wa moyo(Cardiac arrest)

5. Ajali na majeraha.
Majeraha ya kutokwa na damu, kumhudumia aliyevunjika shingo, majeraha ya moto

6. Magonjwa ya maambukizi.
Mlipuko wa wagonjwa Afrika Kusini, vipele vya joto

7. Athari za madawa
Kuzidiwa kwa madawa ya kulevya(opiods overdose), aliyekunywa sumu, aliyemwagiwa kemikali machoni,

8. Watoto
Kupaliwa kwa mtoto.

9. Magonjwa mengineyo.

Ishara za hatari kwa maisha ya mtu, visababishi vya allergy, uzazi wa mpango wa dharura (part 1 and 2), kutokwa na damu puani, fahamu kuhusu kitengo cha magonjwa ya dharura.

Unaweza kupata makala hizi zote katika kipengele cha “magonjwa ya dharura” ukibonyeza menu yetu upande wa kulia juu kabisa. Uingiapo kwenye tovuti. Kumbuka pia kwamba; Kila Jumatano tunakupa fursa ya kujifunza mengi juu ya magonjwa mbalimbali ya dharura na namna ya kumsadia kwa huduma ya kwanza mtu anayeathirika hivyo. Endelea kuwa nasi na tafadhali pitia makala mbalimbali ambazo inawezekana zilikupita huko nyuma.

8 thoughts on “Je umefuzu kuokoa maisha ya mtu?

    1. Ujuzi kutuwezesha kufanya jambo tofauti na wengine. Tunashukuru kwamba mnajifunza mengi na pengine siku ukihitajika kutumia ujuzi huu utautumia vyema

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show