Utambuzi na matibabu ya utapiamlo katika watoto

 

Shirika la Afya Duniani hufafanua utapiamlo (malnutrition) inahusiana na upungufu au uziada  katika ulaji wa mtu wa chakula na virutubisho.

 

Utapiamlo imegawanyika katika makundi mawili ambao ni

Kundi la kwanza

Kutokuwa na lishe ambapo kuna watoto

  •  urefu mdogo kwa umri
  • uzito wa chini kwa urefu
  • uzito wa chini kwa umiri

 

Kundi la pili

ni kutokujitosheleza kwa madini na upungufu wa virutibisho kama vitamini .

 

Kundi jiingine ni uzito uliozidi (overweight) na Fetma (obesity) na magonjwa yasioyakuambukizwa  yatokanao na mlo kama magonjwa ya moto,kiharusi, kisukari na saratani.

Utambuzi wa mtoto mwenye utapiamlo ni

  • Kwa kupima uzito kwa urefu kama unaendena na umri wa mtoto
  • Kama mtoto amevimba  miguu yote miwili
  • Katikati mkono wa juu mduara ( mid upper arm circumference) ikiwa chini ya millimeter 115

Hivi vipimo vyote hufanyika katika kituo cha afya katika kliniki ya watoto na muuguzi  wa afya .

 

Matibabu ya utapiamlo

Inategemea na hali ya mtoto

Watoto wengine hulazwa katika kituo cha afya  na wengine hurudi nyumbani

Kwa mtoto anayelazwa

Vipimo vinavyochukuliwa ni damu, matibabu yanategemeana na hali ya mtoto. Anapewa lishe maalum au maziwa  ambayo yanavirutubisho vyote kwa kiasi anachostahili kupata mtoto kulingana na kilo za awali za mtoto.

 

Kwa mtoto anayerudi nyumbani  hupewa chakula maalum pia (Ready to Use Therapeutic Food) chenye virutibisho vyote.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show