Maisha baada ya kupata kiharusi

Kiharusi ni ugonjwa ambao  huathiri seli za ubongo kutokana kukosekana kwa oksijeni na mahitaji mengine mbalimbali kama glucose na husababishwa kwa mishipa ya damu kuziba au kuvuja kwa damu kwenye ubongo.

Dalili zinazoweza kutokea zinatofautiana mtu kwa mtu.

Pia inategemea na upande upi wa ubongo umearthirika.

Dalili zinazoweza kutokea ni:
-Kushindwa kuongea ghalfa
-Udhaifu
-Kupooza upande moja wa mwili.
-Matatizo ya kuona
-Kupoteza kumbukumbu
-Kushindwa kuongea ilivyo hapo awali

Kwa uelewa zaidi pitia

Kijue kiharusi (stroke) kitokanacho na shinikizo la damu (hypertension)

 

Baada ya mtu kupata kiharusi mtu anashindwa kukabiliana na mazingira kama hapo awali

Huwa wanahitaji msaada ya aina mbalimbali kama:
-Physiotherapy  (mazoezi ya viungo vya mwili)
-Kuendelea na dawa za presha na za kisukari
-Kuaacha kuvuta sigara
-Acha kunywa pombe
-Kula chakula ambavyo havina mafuta.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show