Huduma ya kwanza kwa mtu aliyevunjika mguu au mkono( splinting)

  1.  Ni muhimu kuzuia mguu au mkono wa mtu aliyevunjika. Unaweza kutumia mbao, bodi au fimbo ngumu kama wa ufagio wenye urefu sawa na mguu au mkono.
  2. Weka mbao au bodi pande zote mbili za mguu au mkono, kisha zifunge na kitambaa, taulo au shuka. Kama ni mguu hakikisha mgonjwa amelala chali, na kama ni mkono pia  hakikisha mkono umeegeshwa sehemu iliyonyooka.
  3. Sababu huwa tunatumia fimbo au mbao ngumu ni sababu kuzuia mguu au mkono kusogea kwani huweza kusababisha maafa zaidi kwenye mishipa ya damu, mishipa ya fahamu(nerves), misuli pia, hupunguza maumivu na kama damu inavuja, kuvuja hupungua.

 

  • Kama ni mkono tu ndio uliovunjika, tunaweza kuuning’iniza kwa njia kama hii ifuatayo kwenye picha ifuatayo kwa kutumia kitambaa au shuka.
  • Baada ya mgonjwa kupata huduma hii ya kwanza, kinachofuata ni kumpeleka kwenye kituo cha afya.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show