Kwanini bawasiri hutokea kwa mama mjamzito?

Bawasiri huweza tokea wakati wa ujauzito kutokana na mabadiliko ya homoni katika mwili wa mama mjamzito na mtoto aliyekuwepo tumboni wa mama huongeza presha katika njia ya haja kubwa  .

 

Mabadiliko hayo husabaisha mshipa  kupumzika na huongeza hatari   kuwa na haja kubwa ambao ni  choo kigumu (constipation) hupelekea kupata bawasiri

 

Nini ufanye  kuzuia au kupoonyesha bawasiri wakati wa ujauzito.

  • Kula mlo wenye mbogamboga na matunda zaidi katika kila mlo na pia vyakula vya nyuzi kama maharage
  • Kunywa maji mengi angalau lita mbili kila siku
  • Kufanya mazoezi madogomadogo kama vile kutembea na kunyosha miguu, na inashauriwa usikae chini kwa mudamrefu kutokaa muda mrefu huweza zidisha hali kuwa mbaya zaidi
  • Kufanya mazoezi ya Kegel .

 

Kwa wanawake wengine wajauzito bawasiri  inaweza leta maumivu makali na pia kuvuja damu ukiona hivyo nenda kituo cha afya karibu nawe.

 

Kwa uelewa zaidi kuhusu Bawasiri

http://daktarimkononi.com/2018/04/17/bawasiri-hemoroidi-hemorrhoids/

http://daktarimkononi.com/2018/04/17/je-nifanye-nini-kuepuka-na-bawasiri/

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show