Namna ya kuzuia kutoboka kwa sehemu ya juu ya jicho(konea)

1. Mgonjwa anabidi ashauriwe asiwe anapiga chafya, kukohoa, kutumia nguvu nyingi wakati anakwenda haja kubwa kwani hii huweza kusababisha presha ndani ya jicho kuongezeka.

2. Mgonjwa anashauriwa alazwe.

3. Ngao ya jicho inabidi iwekwe ili kuweza kuzuia majeraha zaidi.

4. Kupunguza presha la jicho kwa kutumia dawa, hii inabidi mgonjwa kwa daktari bingwa wa macho.

Lakini pia inatupasa sisi wenyewe kuwa waangalifu zaidi kwa kufwata yafwatayo.

  • Watu wafunike nyuso zao na vifaa vinavyozuia macho kuathiriwa na vitu vinavyoweza kuruka.
  • Watoto wasicheze wenyewe kwani huweza kuchomana na vitu vikali.

3 thoughts on “Namna ya kuzuia kutoboka kwa sehemu ya juu ya jicho(konea)

  1. Naomba kuuliza daktari, mtu anaweza jizuia vipi kupiga chafya au kukohoa?

    Na je kila mtu inatakiwa ajifunike au mwenye hatari ya kupata siyo shida ndo afanye hivyo?

    1. Asante kwa swali zuri Mr. Lega..Wakati wa kupiga chafya asijizuie/asiibane na ajitahidi kukaa kwenye mazingira yasiyo na vumbi au vitu vinavyoweza kufanya mtu apige chafya kama manyoya ya paka.

      Kujifunika kwa jicho mara nyingi ni kwa watu ambao wako kwenye kazi hatarishi yanayoweza kuzuru jicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show