Homa ya Matumbo

Homa ya matumbo ijulikanayo kama Typhoid ni ugonjwa unaosababishwa na vijidudu vya bacteria aitwaye Salmonella Typhi.

Vijidudu hivi huweza kusambaa kutoka kwa mtu  mmoja hadi mwengine pale watu wanapokula au kunywa vitu vyenye bacteria hawa .

je vijidudu hivi huingiaje kwenye vyakula?

  • Watu wenye maambukizi ya homa ya matumbo wanaweza sambaza vijidudu hivi kwa watu wengine kwa pale wanapogusa vyakula bila kunawa mikono.
  • Pia utumiaji wa maji yasiyo safi na salama huweza sababisha homa ya matumbo kwani vijidudu huweza sambaa pale kinyesi cha mtu kinapo chafua  vyanzo vya maji.

Dalili za homa ya matumbo ni zipi?

  • Homa -joto la mwili hupanda na kufika mpaka nyuzi joto 40.
  • Maumivu ya tumbo.
  • Kuhisi baridi.
  • Madoa doa mekundu eneo la kifua na tumbo,ingawa haya ni ngumu kuonekana kwa watu wasio na ngozi nyeupe.

Upatapo dalili hizi muone daktari kwa uchunguzi zaidi

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show