Mayai mabichi na homa ya matumbo (typhoid)

Watu wengi hutumia mayai mabichi kwa matumizi mbalimbali, waimbaji na wazungumzaji huyatumia kwa ajili ya kulainisha sauti zao, na kina mama huyamimina kwenye uji wa watoto ili kuongeza ladha na virutubisho. Lakini hata katika vibanda vya Chips sio mara zote mayai yanakaangwa na kukauka kabisa, hivyo mtu aweza kula chips yenye yai lililo na ubichi ndani yake.

  • Kutokana na tafiti mbalimbali, inasemekana kuwa mayai mabichi kwa asilimia fulani hubeba vijidudu vya Salmonella ambavyo husababisha homa ya matumbo. Hivyo ni muhimu kulichemsha yai au kuhakikisha limeiva vizuri kabla ya kulitumia ili kujikinga na Homa ya matumbo.

 

  • Ukiona una haja kabisa ya Yai bichi, basi tafuta lile lililosalama au lililopitia mchakato wa pasteurization (matumizi ya joto kuua vijidudu pasipo kuliathiri yai lenyewe).

Daktari Mkononi Tunajali Afya yako😃😃😃

3 thoughts on “Mayai mabichi na homa ya matumbo (typhoid)

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show