Dhana mbalimbali kuhusu saratani ya matiti.

Kuna dhana mbalimbali juu ya saratani ya matiti katika jamii

Baadhi ya dhana za saratani ya matiti ni zifuatavyo:-

Dhana: Sababu kubwa ya saratani ya matiti ni kurithi vinasaba kutoka katika familia.

Ukweli: Ni asilimia 5-10 tu ya saratani ya matiti ambayo inasababishwa na kurithi vinasaba kutoka katika familia. Mfumo wa maisha na mazingira yanayotuzunguka inachangia kwa wingi kuongeza hatari ya kupata saratani ya matiti.

Dhana:Sidiria huongeza hatari ya kupata saratani ya matiti

Ukweli: Sidiria haziongezi hatari ya kupata saratani ya matiti, utafiti uliofanywa na wanasayansi umeonyesha hamna tofauti ya kuongezeka hatari ya saratani kati ya wanaovaa sidiria na wasiovaa sidiria

Dhana:Dalili ya kwanza ya saratani ya matiti kwa watu wote ni kuwa na uvimbe.

Ukweli: Uvimbe ni moja ya dalili za kwanza za saratani lakini sio kila mtu huweza kutambua saratani kwa uvimbe, kuna dalili nyingine ambazo zinaweza kutokea.

Dhana: Kufanya uchunguzi wa ziwa kila mwezi huokoa maisha. Hii ni kweli kwasababu pale unapojichunguza na kuhisi uvimbe , utawahi kutembelea kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi na tiba.

Dhana: Kukata ziwa lote ni bora zaidi kuliko kutoa uvimbe na kupewa mionzi.

Dhana: Hakuna unachoweza kufanya ili kupunguza hatari ya kupata saratani.

Ukweli: Unaweza kupunguza hatari ya kupata saratani kwa kufanya mazoezi, kula lishe bora na kuepuka kuvuta sigara.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show