Habari na taarifa mpya kuhusu saratani ya matiti

Kuna tafiti mbali mbali zilizofanyika ambazo zimeweza kubaini kuna aina ya protini inayopatikana katika wagonjwa wa saratani ambayo inahusika na kusambaa kwa saratani kutoka kwenye matiti kwenda sehemu nyingine. Protini hii huitwa protein ZYMND8. Tafiti zaidi zinaendela kufanyika kuzidi kuelewa uhusiano kati ya protini hii na saratani ilikuweza kupata tiba mpya zaidi.
Kuna maendeleo makubwa ambayo yapo pia katika hatua ya kupima na kugundua ogonjwa huu hasa katika hatua za mwanzo kama sehemu ya kuboresha matokea ya matibabu. Vipimo hivi ni pamoja na sindiria ambayo inaweza tambua saratani katika hatua za mwanzo. Sindria hii inavaliwa kwa mda wa saa moja kila wiki na hutoa matokeo kwa mfumo ambayo umeunganishwa na simu ya mkononi ama kompyuta.
Kwenye upande wa tiba kuna dawa kama pembrolizumab ambayo awali imetumika katika matibabu ya saratani ya ovari sasa inafanyiwa majaribio ya kliniki hatua ya tatu na inaonyesha matumaini.
Hiyo ni miongoni mwa dawa kadhaa ambazo nazo zinafanyiwa majaribio ya kliniki katika matibabu ya saratani ya matiti. Jitihada pia zimewekwa katika ugunduza wa chanjo ya saratani hii.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show