Faida za kiafya za kufika kileleni (orgasm) wakati wa tendo la ndoa

Kufika kileleni kunamsaidia  mtu  kujisikia vizuri licha  ya hii, kufika  kileleni  kuna imarisha afya ya mwili na  akili kwa kumfanya mtu ajihisi ni wa  thamani, kujisikia vizuri, kuwa mwenye furaha na kulala vizuri. Pia ni sehemu  ya  mazoezi  ya  mwili ambayo huweza kumuweka mtu  kwenye  umbo  nzuri.

 

1.Kufika kileleni kunamfanya mtu alale  vizuri, inasemaka kwamba  kufika  kileleni  wakati  wa  tendo la  ndoa homoni ya endorphin inatolewa ambayo inaimarisha usingizi na ivyo  mtu  kupata  usingizi  mzuri baada  ya  tendo  la  ndoa  hasa  wakati  wa  usiku.

2.Kufika kileleni kunasaidia mtu asipate mafua mara kwa  Mara,   utafiti  hunaonesha  kwamba  kuwa  na msisimko wa kimapenzi na kufika  kileleni kuna hongeza namba  ya uzalishaji  wa  chembe hai  za  mwili(askari wa   mwili) ambazo husaidia kuimarisha  kinga ya mwili.

3.Kufika kileleni  hupunguza  maumivu kwa  muda  mfupi. Wakati  wa  kujamiana  homoni  ya  oxytocin inatolewa  ambayo inasaidiaa  kupunguza  maumivu kwasababu  homoni hii  umfanya  mtu  awe  na hisia  chanya na  kuwa na  hali  ya  kurelax

4.Kufika kileleni kunamfanya  mwanamke au mwanaume Kuwa mwenye furaha.

5.Kufika kileleni  huongeza  uwezo  wa  ubongo  kufanya  kazi.

6.Kufika kileleni kunaweza  kumsaidia  mtu  kuishi Miaka mingi.

7.Kufika kileleni  kunamsaidia  mwanamke kuwa  na  mpangilio mzuri  wa  mzunguko  wa  hedhi.

8.Kufika kileleni ina  msaidia mwanake kukaza misuli ya kwenye  njia  ya  uzazi (mazoezi ya kegel) na  kuimarisha afya  ya  nyonga.

9.Kufika kileleni kunasaidia kupunguza msongo wa  mawazo kwasababu ya homoni ya  oxytocin inayotolewa  wakati wa  tendo  la  ndoa .

10.Kufika  kileleni kunamfanya  mtu , hawe mtu  wa  kujiamini na kujithamini.

Tendo  la  ndoa Zuri ,Maisha mazuri

1 thought on “Faida za kiafya za kufika kileleni (orgasm) wakati wa tendo la ndoa

  1. Also kufika kileleni inasaidia kuisafirisha sperm kwenda into the cervix na kuwezesha mwanamke kupata ujauzito…

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show