Madhara ya magonjwa ya akili na jinsi ya kuzuia .

Kama ugonjwa wa akili haujatibiwa inaweza sababisha matatizo ya  kihisia , mabadiliko ya tabia na afya kudhoofika.

 

Madhara ya magonjwa ya akili ni

 • Kutokuwa na furaha au kupunguza kufurahia maisha.
 • Ugomvi katika familia.
 • Matatizo katika uhusiano.
 • Kujitenga na jamii inayomzunguka mgonjwa.
 • Matumizi mabaya ya pombe, sigara na madawa ya kulevya.
 • Kupunguza ufanisi katika kazi, masomo na nyumbani.
 • Matatizo ya kisheria.
 • Changamoto katika nyanja mbalimbali za kimaisha  kama kiuchumi na kijamii.
 • Kujiumiza mwenye kwa kujichoma au kujikata au kujiua.
 • Kuwaumiza wengine.
 • Hupunguza kinga ya mwili hivyo hupelekea mwili kushambuliwa na maradhi.

Kuzuia magonjwa ya akili

Kuna njia mbalimbali za kuzuia magonjwa ya akili.

Unaweza kuchukua hatua zifuatazo kujiweka mbali na magonjwa ya akili

 • Kudhibiti shida ( stress).
 • Kuongeza ujasiri kukabiliana na shida.
 • Tafuta msaada pale unapohitaji (katika kukabili tatizo).
 • Fanya uchunguzi wa afya yako.
 • Jitunze vizuri mwenye kwa kulala masaa yanayotakiwa, kula mlo sahihi na kwa kufanya mazoezi.
 • Jifunze kuwa na ratiba.

 

Kama unapata shida yeyote tembelea kituo cha afya  kwa ushauri na matibabu

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show