Fahamu Kuhusu Trakoma

Trakoma ni ugonjwa wa macho.Ugonjwa huu huweza sababisha upofu.

Bacteria ajulikanaye kwa jina la kitaalamu klamidia trakomatis ndie anyesababisha ugonjwa huu wa Trakoma.

Trakoma huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwenginde,waathirika wakubwa wakiwa watoto na akina mama.

je ugonjwa huu unaambukizwaje?

Ugonjwa wa Trakoma huambukizwa kwa njia zifuatazo-

  1. Inzi-endapo atatua kwenye jicho la mgonjwa wa trakoma na kisha kutua katika jicho lako
  2. Mikono-kama itatokea umeshikana na mtu mwenye trakoma na kisha ukajigusa macho yako.
  3. Kuchangia nguo na kufututia macho
  4. Msongamano wakati wa kulala.

Dalili zake ni kama zifuatazo

  1. Macho kuwasha.
  2. Kuhisi kama macho yana mchanga.
  3. Macho kuwa mekundu.
  4. Macho kutoa machozi.

Je ungependa kufahamu nini zaidi juu ya trakoma?

Daktari mkononi wapo kwaajili yako

1 thought on “Fahamu Kuhusu Trakoma

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show