Kinga ni Bora Kuliko Tiba. Hali ikoje kwa Kipindupindu?

fahamu

madhara na jinsi ya kujikinga na kipindupindu

  • madhara ya kipindupindu

Hofu miongoni mwa jamii katika sehemu yenye mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Kifo kutokana na ukosefu wa maji na madini mwilini baada ya kuharisha na kutapika sana.

Serikali hutumia fedha nyingi kwa ajili ya dawa, posho kwa watumishi katika kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Β 

Kushuka kwa uchumi kutokana na familia/jamii kuacha shughuli za uzalishaji mali ili kumuhudumia mgonjwa na kushiriki katika misiba

jinsi ya kujikinga na kipindupindu

Kuweza kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu kuna faida kwetu kwani huepusha madhara makubwa yanayotokana na ugonjwa huu

jenga choo bora na kukitumia ipasavyo

Kufunika tundu la choo na kufunga mlango baada ya matumizi yake

Kunawa mikono kwa maji safi na salama kwa kutumia sabuni baada ya kutoka chooni au kumtawaza mtoto, kabla ya kula au kumlisha mtoto

 Kula chakula kikiwa bado moto na kufunika chakula kilichoandaliwa tayari kwa kuliwa

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center