DHANA: Tumbaku ni mmea asilia, hauna madhara yoyote kwako.

UKWELI: Uasilia wa kitu haumaniishi ni kizuri kwa afya.

Tumbaku ni mmea ambao unaweza kuota na kupatikana sehemu yeyote Duniani. Ingawa una baadhi ya faida za tiba ndani yake, lakini kuna kemikali sumu nyingi sana zilizopo kwenye moshi wa tumbaku. Mfano wa kemikali hizo ni nicotine, cyanide, carbondioxide na ammonia. Kuna zaidi ya kemikali sumu 250 kwenye tumbaku, kati ya hizo 69 zinasababisha saratani.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center