Faida Tano za Tende wakati wa mfungo wa Ramadhani

Ramadhani ni kipindi muhimu na kizuri kwa wanajamii ya kiislamu na kina faida kiafya na kiroho.

Wakati wa kufungua mara nyingi wengi hupendelea kuanza kwa kula Tende.

Lakini Je ushafahamu faida za kula tende?

Faida za kula Tende wakati wa mfungo wa Ramadhani

Wakati wa mfungo unaweza jisikia uchovu na kuhisi maumivu ya kichwa hizi ni dalili za kawaida na hutokana na kupunguwa kwa sukari(glucose) mwilini.

Ukisikia dalili nyingine zaidi wahi katika kituo cha afya kilicho karibu nawe.

Ramadhan Kareem