Tatizo la kutokuona karibu:fahamu visababishi, dalili na tiba

TATIZO LA KUTOKUONA KARIBU

Ni hali ya mtu kushindwa kuona vitu vilivyokaribu vizuri kama akiwa anasoma au kutumia simu na kompyuta.

Ni kati ya matatizo yaliyo katika jamii hususani za kitanzania ambapo wengi wanakuwa na uwezo  wa kuona vitu vilivyo mbali  kwa urahisi.

visababishi

Inawezekana kuwa na tatizo hili tokea utotoni kwa kuzaliwa na baadhi ya makosa katika jicho kama kuwa na lenzi nyoofu badala ya duara au kornea nyoofu badala ya nusu duara.

Kama kupata ajali ya jicho au magonjwa kama kisukari, kansa ya jicho na umri mkubwa

Kipi cha Kufanya?

Fika katika kituo cha afya au katika hospitali iliyokaribu nawe ili uweze hudumiwa mapema.

Hakuna asiyetaka kuona ila inabidi afya ya macho tuizingatie”

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center