Ifahamu Tovuti Ya Daktari Mkononi

Tunarahisisha Afya

fahamu jinsi ya kutumia tovuti yetu

Homepage

Pata dondoo zilizoandaliwa kwa ajili yako, kukusaidia kwenye maisha ya kila siku katika kukuepusha na magonjwa.

Categories

Chagua aina ya mada uipendayo ili upate nakala uipendayo kwa urahisi zaidi

Jiunge

Jiunge leo na Daktari mkononi, BURE kabisa! Inatumia sekunde chache tu! Jiunge kwa kutumia account yako ya Facebook au Google au jiunge upya kama hauna.

Search

Pata swali au mada uliokuwa ukiitafuta kiurahisi kwa kubonyeza search  na kuandika mada yako. mfano: homa ya ini

Msaidizi wako

Pata msaada wa haraka kutoka kwa msaidizi wako aliyekuepo kwenye tovuti. Mmbonyeze na uchague unachohitaji akusaidie.

Mada

Soma mada zetu zilizoandaliwa vizuri, zikiwa na dhumuni la kukusaidia upate elimu kwa lugha rahisi.

Afya Yako