Maswali na majibu juu ya utu uzima/uzee na kuongezeka kwa uzito

Fahamu zaidi juu ya kuongezeka umri na uzito.

 HAPANA, kwa wazee, jambo la muhimu la kuzingatia pindi unapozeeka ni uwezo wa kuendelea na shughuli zako za kila siku hata kama una mwili. Kuwa na mwili mkubwa hupaswa kua na kiwango cha misuli zaidi mwilini kupita mafuta. Muuguzi huweza kukusaidia kukuambia kama kiwango hicho kipo kwa kipimo sahihi.

NDIO, mmeng’enyo wa chakula huanza kupungua kwanzia umri wa miaka ishirini (20). Mwili hupunguza takriban kalori 150 ya zile zilizokua zikimeng’enywa na mafuta huanza kuongezeka kuliko misuli, hivyo bila mazoezi misuli haitajengeka.

HAPANA, tunavyozidi kukua kiumri, miili yetu pia hubadilika. Mmeng’enyo wa chakula pia hubadilika hivyo yapasa kufanya mazoezi ili tuweze kuimarisha misuli yetu. Kwahiyo hata kama unakula kiwango sawa na kile ambacho ulikua unakula kipindi cha nyuma, ukuaji huweza kusababisha kuongezeka kwa uzito.

HAPANA, kukoma kwa hedhi ni pindi pale mwanamke anafikia umri ambao anaacha kupata hedhi zake. Umri huo jinsia zote mbili huhisi muongezeko wa uzito na sababu hubakia ile ile kupungua kwa mmeng’enyo na sio kukoma kwa hedhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center