Unapiga mswaki kila siku na bado kinywa chako kinatoa harufu mbaya? Unajua sababu inaweza kuwa nini? Zifuatazo ni sababu za kuendelea kutokwa na harufu mbaya mdomoni hata baada ya kupiga mswaki.
kupiga mswaki vizuri kunazuia harufu mbaya ya kinywa.
•Unatumia sana vyakula vyenye viungo vingi kama vitunguu swaumu
•Maambukizi kwenye sehemu ya juu ya mfumo wa upumuaji
•Matatizo kwenye mfumo wa chakula
Sasa ufanyaje?
Jifunze njia nzuri ya kupiga mswaki …link
Safisha ulimi wako vizuri kila unapopiga mswaki
Nenda kliniki ya meno kuziba meno yaliyotoboka na kusafisha meno
Fika hospitali ili kupata ushauri..
Ahsante kwa elimu ya kinywa daktari
Sawa doctor, kazi nzuri
Some times its a pain in the ass to read what blog owners wrote but this site is very user pleasant! https://ketoplatinumdiet.net/
Ahsante kwa ushaur Dk