Unapiga mswaki kila siku lakini bado kinywa chako kinatoa harufu mbaya,shida ni nini?

Unapiga mswaki kila siku na bado kinywa chako kinatoa harufu mbaya? Unajua sababu inaweza kuwa nini? Zifuatazo ni sababu za …

Je unatamani kupangilia meno yako? Fahamu leo faida na hasara za kuvaa braces.

Matibabu ya mpangilio wa meno yameshika kasi kipindi hiki hasa kutokana na ukuaji wa teknolojia,kuongezeka kwa wataalamu(orthodontists) na idadi ya …

kutoboka kwa meno kulikokithiri kwa watoto/early childhood caries/rampant caries.

kutoboka kwa meno ya watoto chini ya umri wa miezi 71(miaka 5) ni kitendo cha meno hasa ya mbele ya …

Jinsi ya kumuandaa mtoto wako kumuona daktari wa meno kwa mara ya kwanza

Kama mzazi kuna vitu vingi tunaona watoto wetu wakifanya kwa mara ya kwanza. Kutembea ,kuongea,kula na vitu vingine vingi na …

Jinsi magonjwa ya kinywa na meno yanavyoweza kuathiri afya ya mtoto wako

Kinywa ni sehemu muhimu sana katika mwili wa mtoto kwasababu ya kazi mbalimbali ambazo zinafanywa na kiungo hichi ikiwemo kula,kuzungumza,kuonyesha …

Je wajua, ukisukutua baada ya kupiga mswaki unakuwa umefanya kazi bure?.

Je wajua? Watu wengi hawafahamu kuwa kusukutua au kusafisha kinywa na maji baada ya kupiga mswaki ni kama umefanya kazi …