Mtoto wangu ana tatizo la kula udongo (Pica)

Watoto wengi hupenda kuweka vitu mdomoni wakati fulani katika ukuaji wao. Ni asili ya mtoto kutaka kufahamu kuhusu mazingira waliyopo, na wanaweza, kwa mfano kuchukua mchanga na kuweka mdomoni. Lakini watoto wenye tatizo la ‘pica’…

Mtoto wangu ana homa, Je nifanye nini?

Homa ni dalili ambayo hutambulika kwa joto la mwili kupanda juu ya nyuzi 38°C , au kwa kawaida hujulikana kama mwili kuchemka. Homa ni dalili na sio ugonjwa, hivyo basi inaweza kusababishwa na magonjwa tofauti…

KWANINI MWANANGU HASHIBI?

Utangulizi Maziwa ya mama kwa mtoto ni jambo la muhimu sana kwani yana virutubisho vingi vinavyomsaidia mtoto kukua vizuri, kumkinga na magonjwa na kumsaidia kupona haraka anapoumwa. ndio maana inashauriwa mtoto kunyonya maziwa ya mama…

JINSI YA KUMNYOSHESHA MTOTO

Je, wafahamu namna nzuri ya kumnyonyesha mtoto!? Kumnyonyesha mtoto  ni jambo la muhimu sana kwa sababu ya faida zake nyingi zikiwemo; kumkinga mtoto na magonjwa, kuimarisha Kinga yake ya mwili , hujenga uhusiano mkubwa wa…

VIFO VYA GHAFLA KWA WATOTO WACHANGA

Kitaalamu huitwa Sudden Infant Death Syndrome(SIDS) AU Crib death.Vifo vya ghafla kwa watoto wachanga imekuwa ni ngumu kwa wazazi kujua nini ni chanzo chake.Kwenye jamii zetu za kiafrica watu wengi huusisha vifo vya watoto na…

Fahamu sababu kuu za kutapika kwa watoto.

Je kutapika ni nini? Kutapika ni hali ya mtu au mnyama kutokwa kwa nguvu na vitu vilivyojikusanya tumboni kupitia mdomoni na wakati mwingine puani. Ni kawaida kwa watoto wachanga na watoto kutapika. Katika kesi nyingi,…

Afya ya watoto | Maelezo

Tuwajali | Tuwapende | Tuwalinde Afya ya watoto Watoto ni taifa la kesho. Ni vyema tuwasaidie kulinda na kuimarisha afya zao ili kuepuka na magonjwa mbalimbali yanayozuilika. Daktari Mkononi inaweza kukusaidia kuwa pamoja na wewe…

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show