Fangasi sugu za ukeni zinatibika, fahamu suluhisho la tatizo hili.

Ijue hali ya uke kiundani Kwa kawaida eneo la uke huwa na kiasi kikubwa cha bakteria (Lactobacillus) ukilinganisha na kiasi …

Je, wafahamu muda sahihi wa kupata ujauzito?

KARIBU TUJUZANE! Ni muda gani sahihi wa kupata ujauzito? Hiki ni kitendo cha kuahirisha kupata ujauzito na kuweka nafasi kati …

fahamu mambo yanayoweza sababisha upungufu wa mbegu za kiume (sperm count)

Ili kufanikisha kutunga mimba mwanaume anatakiwa azalishe mbegu kuanzia million 20 na zaidi katika kila millilita moja ya shahawa. kuna …

Je, ni nini athari za kuvaa viatu vyenye visigino virefu wakati wa ujauzito ?

Kipindi cha ujauzito ni wakati wa kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Moja ya mambo makubwa ni …

Ninapaswa kufahamu nini kuhusu Tiba Ya Homoni ? (Hormonal Therapy)

Tiba ya homoni ni uongezaji wa homoni zinazokosekana mwili hasa kwa wanawake waliofikia ukomo wa hedhi (Menopause). Hii ni kutokana …

Uke wangu hauingiliki. Je, nina tatizo gani ? (Vaginismus)

Vaginismus ni tatizo la kukaza kwa misuli ya sehemu ya juu ya uke pale ambapo kitu chochote kinapojaribu kupenya au …

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UJAUZITO ILI KUZUIA MAAMBUKIZO YA VVU KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO

Itawezekana kuzuia maambukizi ya VVU toka kwa mama kwenda kwa mtoto endapo mambo yafuatayo yatazingatiwa; Matumizi sahihi ya ART kama …

Unatamani kufahamu njia za uzazi wa mpango kwa wanaume ?. (Male Contraception)

Swala la uzazi wa mpango lianonekana kuwa wajibu wa mwanamke lakini hata wanaume wana njia za uzazi wa mpango. Ingawa …

Ni kwanini nahisi maumivu wakati wa kujamiiana ? (dyspareunia)

Tendo la kujamiiana linapaswa kuwa tendo la kuvutia na bila shaka utajiuliza maswali mengi iwapo maumivu yataambatana na tendo hilo. …

MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA (DYSPAREUNIA) YATOKANAYO NA MAAMBUKIZI YA VIA VYA UZAZI (PID)

Maumivu yatokanayo na maambukizi ya mfumo wa uzazi huweza kuwapata Mwanawake wa umri wowote hasa walio katika umri wa kuzaa …

JE, UNAFAHAMU MABADILIKO KATIKA MIFUMO 7 WAKATI WA KIPINDI CHA UJAUZITO??

Mwanamke akiwa mjamzito hupata mabadiliko mbali mbali katika mwili wake. Ni kipindi muhimu cha kukielewa vizuri ili tuweze kuepukana na …