Imetokea siku moja wewe na rafiki yako mmetoka kupata burudani kidogo na baada ya usiku kuingia ukaamua kwenda kulala kwake…
Author: Fortunata Cornel DDS 4 ๐น๐ฟ

Je,umeridhika na mwanya wako?
14.00 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Mwanyaย ni nafasi katikati ya meno. Sehemu ambayo mara nyingi mwanya…

Jinsi ya kumuandaa mtoto wako kumuona daktari wa meno kwa mara ya kwanza
Kama mzazi kuna vitu vingi tunaona watoto wetu wakifanya kwa mara ya kwanza. Kutembea ,kuongea,kula na vitu vingine vingi na…

Jinsi magonjwa ya kinywa na meno yanavyoweza kuathiri afya ya mtoto wako
Kinywa ni sehemu muhimu sana katika mwili wa mtoto kwasababu ya kazi mbalimbali ambazo zinafanywa na kiungo hichi ikiwemo kula,kuzungumza,kuonyesha…

Tatizo la kukaukiwa na mate mdomoni(xerostomia)
Hii ni hali ya kukauka kwaย mate kinywani na kufanya kinywa kuwa kikavu isivyo kawaida. Hii hutokana na kupunguaย kwa…

Fahamu kuhusu udata (ankyloglossia/tongue tie)
14.00 Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99;…

Je,ninasafisha kinywa changu vizuri?
โKinywa cha binadamu kwa kawaida kina mamilioni ya bakteria ambao hawana madhara yoyote hadi pale ambapo patatokea mabadiliko na kusababisha…

Je ni kwanini meno yangu yanalegea?
Meno ya binadamu kwa kawaida yameshikiliwa kwenye mfupa maalumu unaoitwa alveolar bone kwa kutumia nyuzi maalum zinazoitwa periodontal fibres.vyote hivi…

Kunyonya vidole kunavyoweza kuathiri meno ya mtoto.
Mtoto wangu anapenda sana kunyonya vidole.Je ni nini madhara yake katika ukuwaji wa meno??? Kunyonya vidole ni kawaida sana kwa…

Athari za uvutaji wa sigara kwenye afya ya kinywa na meno
Watu wengi sana wanafahamu kuhusu madhara ya sigara kwa afya ya sehemu zingine za mwili lakini ni wachache tu wanaofahamu…

Madhara ya utumiaji wa toothpick mara kwa mara.
Toothpick ni njiti nyembamba inayotumika kuondoa mabaki ya chakula katikati ya meno. Utumiaji wa toothpick umekuwa ni mojawapo ya njia…

Matibabu ya mzizi wa jino(root canal treatment)
Hii ni aina ya matibabu ya jino ambapo sehemu hai ya jino(pulp tissue)iliyoshambuliwa na kuharibiwa na ย bakteriaย inatolewa na mizizi…