Yapo magonjwa mengi ya聽 kurithi katika jamii na moja wapo ya magonjwa hayo ni ugonjwa wa seli mundu unaosababishwa na…
Magonjwa ya Dharura

Dawa muhimu kuwa nazo nyumbani.
Ni kawaida kwa binadamu kupatwa na maumivu au maradhi madogo madogo mara kwa mara hasa watoto wadogo. Dalili nyingi huanza…

Koo Kuwasha:Njia za kutuliza muwasho wa koo
Koo kuwasha au kuuma hasa huashiria kuanza kwa mafua au kuumwa kifua. Inawezekana muwasho au maumivu yasiwe makali sana na…

Huduma ya kwanza kwa majeruhi aliye pigwa shoti ya umeme.
. Ni jambo la dharura! Mara nyingi hatari za umeme katika mazingira yetu hutokea, na tumekua tukishuhudia watu wakipata madhara…

Fahamu kuhusu Aleji ya madawa!
Madhara ya madawa yapo mengi na ya aina nyingi, na kila mtu hupata matokeo tofauti kwa dawa ileile, mwingine anaweza…

Fahamu kuhusu maambukizi ya sehemu ya nje ya sikio (Otitis Externa)
Mara nyingi maambukizi ya sikio hutokea katika sehemu ya kati ingawa maambukizi ya sehemu sikio la nje hutokea pia.Kama inavo…

Fahamu tatizo la kuota nyama puani(Nasal polyp).
鈥淚NAWEZA IKALETA WASIWASI NA TAHARUKI KWA FAMILIA NA MGONJWA ANAPO AMBIWA NA DAKTARI KWA MARA YA KWANZA KUWA ANA NYAMA…

Dalili za hatari za shinikizo la damu (hypertensive crisis)
Shinikizo la damu Watu wengi huishi na ugonjwa wa shinikizo la damu bila dalili zozote, na pengine Ugonjwa huu una…

Visababishi vya sikio kuuma kwa watoto.
Sikio kuuma kwa Watoto. Sikio kuuma wengi hudhani inawapata watoto tu japo ata watu wazima wanauwezekano wa kupata maumivu ya…

Fahamu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye poteza fahamu kutokana na kisukari(Diabetic coma).
Kisukari ni ugonjwa unaotokea baada ya mwili kushindwa kurekebisha kiasi cha sukari katika damu,mara nyingi tatizo hili hutokea wakati kongosho…

Fahamu Ugonjwa wa Ebola
Ebola ni nini? Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Ebola. Husababisha homa kali inayoweza kuambatana na kutokwa damu mdomoni, puani,…

Fahamu madhara ya kufikicha macho
NI NINI HASA? 聽 聽Kuhisi uhitaji wa kufikicha macho ni hali ya kawaida hasa pale unapokuwa umechoka au pale unapohisi…