Je, upo katika hatari ya kupata saratani ya mfuko wa uzazi? Jifunze nasi!

karibu tujuzane! Unafahamu nini kuhusu saratani ya kizazi? Saratani ya kizazi ijulikanayo pia kama saratani ya mji wa mimba ni …

JE NAWEZA KUPATA MADHARA NAPOVUTA MOSHI WA SIGARA HATA KAMA MIMI SIVUTI?

Utafiti unaonyesha kwamba uvutaji wa pili wa sigara kitaalamu kama second hand au passive smoking huleta madhara ya kiafya  kwani …

FAHAMU ATHARI ZA KUBEBA VYAKULA VYA MOTO KWENYE MIFUKO(RAMBO) AU VYOMBO VYA PLASTIKI

Maisha ya kila siku ya mwanadamu hususani katika nchi za kiafrika hutegemea kwa kiasi kikubwa matumizi ya vyombo vya plastiki …

MTINDO WA MAISHA UNAVYOWEZA KUATHIRI NGUVU ZA KIUME KWA VIJANA

Uume dhaifu kwa kitaalamu inaitwa Erectile dysfunction E.D au Impotence.Endapo mwanaume anashindwa kusimamisha uume,umekosa nguvu ya kutosha kuingia ndani ya …

Wafahamu mambo muhimu kuhusu Selimundu(Sickle cell)?

Yapo magonjwa mengi ya  kurithi katika jamii na moja wapo ya magonjwa hayo ni ugonjwa wa seli mundu unaosababishwa na …

FAHAMU KUHUSU UGONJWA SUGU WA FIGO (CHRONIC KIDNEY DISEASE)-SEHEMU YA KWANZA

UTANGULIZI. Ugonjwa sugu wa figo ni nini? Ugonjwa sugu wa figo ni hali ya figo kudhoofika kwa muda mrefu wa …